Makala ya Kiingereza imeandikwa na Zachariah Mampilly na kutafsiriwa na Kathleen Bomani na Bahati “Gesi haitoki! Gesi haitoki!” Wasichana kumi waliovaa sare za bluu za shule, walipiga kelele kwa shauku wakati Toyota FunCargo ya kukodi ilipowapita kwenye barabara ya vumbi nikielekea mpakani na Msumbiji. Nipo kusini mwa Tanzania karibu na kijiji kinachoitwa Msimbati. Kipo mbele kidogo ya moja kati ya […]
↧